Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
unatumia app gani nzur ya kusikilizia nyimbo mkuuView attachment 2196775old school Eve E ft Gwen - let me blow your mind
🤣🤣🤣Always old is gold…zamani unasikiliza wimbo unapata ujumbe murua kabisa, siku hizi tunaambiwa tugidi gidii sijui ndiyo nini.
Ya Moto Band walikuwa wa moto kweli 🔥