Huu wimbo nikilewa lazima niusikilize
Nikisikiliza hizi nyimbo huwa najiona kama bado nipo Arusha, kama bado napita Metro pole kuelekea kijenge, kama bado namuona Donii akiuza T-Shirt za watengea pale metro pole, Kama bado namuona Ras omega daraja Mbili, ama kama bado namuona Stoper Rhyme maker pale fire, i'm Miss old Arusha, i Miss my old days nikitoroka shule na kwenda kukaa ViaViaView attachment 2869500
chaba 009, Umbwa mzee Haikuwa easy. #LibraryMusic