Dynastie live-Ferre Gola
Humo kuna sebene na mipini ya kutosha.
Kaimba old skull zote za bolingo toka Wenge,Papa Wemba,Zaiko,Tabu Ley,Defao,,Pepekale,Lutumba Simaro,Franco nk.
Kiujumla Ferre ni mwanamziki bora Congo kwasasa.
Koffi mkongwe,ila kwenye amsha amsha yupo huyu.
Werrason nae anaamsha sio poa ana vijana wake wanapiga sebene balaa wakimaliza kuimba