bongo bongo nadhani ni mimi na wewe tu ndo tunamjua huyu mwamba maestro huku nilipo watu hawamueelewi kabisa umetisha mkuu 🔥Same here, hiyo album ya multitude nmeskiliza na kurudia rudia asee ni sio powaaa
Amini kak, washkaji hawamjui kabisa uyo mwambabongo bongo nadhani ni mimi na wewe tu ndo tunamjua huyu mwamba maestro huku nilipo watu hawamueelewi kabisa umetisha mkuu 🔥