Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaaaah brazaaaaah!Moyo umezama kwakeee
Bila yeye siwezi toboaa
Me ndio fundi wa raha zake natwanga na kukoboaa 💦💦
View attachment 2407916
Rohoo yanguuu na ikuimbieee
ShalomRohoo yanguuu na ikuimbieee
Jinsi weweee ulivyo Mkuu
Bonge ya wimbo tangia enzi hizo sijawahi kuacha kusikiliza. Ila pia Joe ana mashairi makali...kama huu Good Girls.Hapa Joe alimaliza kila kitu 😍
Back in days Clean Bandit nilimjulia kwenye….symphony - clean bandit
😍 😍😍 what if we rewrite the stars? Carleen View attachment 2407924
You are in Love 🤣👌😍 😍
My love to you girlie..!!.
Last song nimeskiza Leo ni Fire on Fire by Sam Smith..
Uskize kesho baada ya ibada..!!