SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

njaa ilipozidi nilikonda sana na pia nilichakaa,
hata mavazi yangu yakawa kama kichaa nini kinyaa,
na watu wakatangaza nash nimeukwaa,
studio tatuu habari zikazagaa,
wengi walikubali wachache walikataa,
hadi mwanangu pala alininyanya paa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…