donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
😁 acha zako.
🤣🤣🤣🤣, sema marehemu Capt. John Komba (R.I.P) alikua anajua sana aisee kwenye nyimbo za hamasa za chama. Japo mimi sina chama, ila nikisikilizaga nyimbo za huyo mzee hua naburudika sana😁 acha zako.
Mzee ni kipaji muhimu sana kuwahi kutokea kwenye nchi hii. Ile sauti siyo poa.🤣🤣🤣🤣, sema marehemu Capt. John Komba (R.I.P) alikua anajua sana aisee kwenye nyimbo za hamasa za chama. Japo mimi sina chama, ila nikisikilizaga nyimbo za huyo mzee hua naburudika sana
I want to give my heart, my soul, my love to you oh baby🥰❤️🔥LOVE was made for me and you ❤️🔥💕
View attachment 3330854