View: https://www.youtube.com/watch?v=c1SSTugnYNU
Nimeamka na hii ya Sewer leo, imenikumbusha enzi za Collabo za Watengwa na Ukoo flani Maumau. Na imagine chindo, donii, JCB, K-Shaka, Mashifta, G-rongi, Sharama, waki spit kwenye hii beat kama enzi zile.
Tunacheza golf kwa Court ya bake na mafans ni wa cricket /
System haitaki tu picket.