dah 😃😃Nyimbo unayoisikiliza ndio imenichekesha 😆
Nikita fundi sana
Sana, kuna mistari kadokeza kwenye nyimbo ya X.O motto sijuo wanatoa remix, naisubiri maana kaimba vizuri mnoNikita fundi sana
Huyu dogo fundi sana pale Spotify hakamatikiSana, kuna mistari kadokeza kwenye nyimbo ya X.O motto sijuo wanatoa remix, naisubiri maana kaimba vizuri mno
Depal hivi babylon club bado ipo hapo chugaView attachment 3488948
Jirani na ofisi za Taesa au benki ya posta.Ni wapi hapo? Kama kajina kageni
Taesa napajua.. hiyo club sijawahi isikia 😀Jirani na ofisi za Taesa au benki ya posta.