SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

Ukipata muda sikiliza hii ngoma alafu ntakuambia maana yake.
 
Hii ninayo kwenye play list yangu Asante. Nasubiri maana
leo dada hii nyimbo koffi anamkubali cindy kuwa mke wake, ila koffi hana ndururu yaani apeche alolo. Cindy anamhimiza atampenda hivo hivo hata kama hana mali na watazitafuta wote. Hii nyimbo ni ya kilingala ilitoka 2023. Aidia ya nyimbo haijulikani kama walikopi ile ya mazonge au ya the late luambo makiadi
 
Bonge moja la ngoma!! Pac alijua kutengeneza ngoma zinazoishi.. inatosha kusema mziku wake ulikuwa mzuri sana..
Zaidi ya miaka 20+ naisikiliza hii ngoma sijawahi kuichoka. Verse yake aliingia kama ana mzuka sana, kama vile mic alikuwa anaingojea kwa hamu sana..

Hapa namsikiliza mzee yusufu.. ngoma inaitwa NITADUMU NAE.
 
Nakula killing me softly ya kwao fugees.. huyu mrembo lauryn hill alikuwa fundi sana, zaidi ya fundi..
Laury hill, hapa missy elliot hapa eve hawa ndio marapa wa kike huniambii kitu, katika 3 bora yangu.. kisha kina mc lyte na wengine watakamilisha 10 bora
 

Attachments

  • Screenshot_20251216-232125_VLC.jpg
    148 KB · Views: 13
Ooh!!!! Asante kwa kunifahamisha maana yake..... Maneno mazuri!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…