Paloma kwenye Lullaby ya Sigala aliimba sana..Kuna wasanii wa kike kama Lana Del Rey, Paloma Faith, Christina Aguilera, Pinky wanaimba utadhani ni wanawake weusi bwana. Yaani wameiga Blues, Soul, Jazz, RnB na kuipatia kweli....
Huu wimbo mwaka 2019 ulikuwa on repeat modeGood morning Depal View attachment 2478763
Fundi mtaalam mbosso