SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

Kuna wasanii wa kike kama Lana Del Rey, Paloma Faith, Christina Aguilera, Pinky wanaimba utadhani ni wanawake weusi bwana. Yaani wameiga Blues, Soul, Jazz, RnB na kuipatia kweli....
Huyu Paloma naipenda sana ile nyimbo yake ya "only love can hurt like this" ft Teddy Swims. Na ninamkubali sana kwenye "Pennyworth" tv show
 
Siri ni kwamba hata uimbe vipi huwezi kuisikia sauti yako ila mtu mwingine ndio anaweza kuisikia nakukuambia unaimba kama nani? Fanya kurecord alafu nitumie au mtumie Lenie atoe comment.
Eeh atutumie wadau tumsikilize tutoe comments zetu af tuseme kama anapata zawadi au anarudisha hela zetu
 
Eeh atutumie wadau tumsikilize tutoe comments zetu af tuseme kama anapata zawadi au anarudisha hela zetu
Nimekutumia txt pm jana nikiwa zakiem alafu ukajikausha? 😥
 
Umenichomesha bure mafuta yangu 😥 nimejizungusha mpaka kule maji matitu ila ukajikausha! Una roho ngumu lakini.
Jana si unajua weekend, nilikua busy na mtoto wa mama mkwe
Jioni nakushtua basi twende tukanywe juice ya miwa🍹
 
Jana si unajua weekend, nilikua busy na mtoto wa mama mkwe
Jioni nakushtua basi twende tukanywe juice ya miwa🍹
Leo jumamosi ninywe miwa kweli? 😂 Tutaenda agiza nyama kidogo na ka Hennessey hata cha 75k ila usiache kupiga mini skirt cunajua joto kali Lenie
 
Leo jumamosi ninywe miwa kweli? 😂 Tutaenda agiza nyama kidogo na ka Hennessey hata cha 75k ila usiache kupiga mini skirt cunajua joto kali Lenie
Si nilikua nakutega nione leo budget ikoje pande hiyo🤣

Joto kali balaa, crop top na mini skirt itapendeza
 
Si nilikua nakutega nione leo budget ikoje pande hiyo🤣

Joto kali balaa, crop top na mini skirt itapendeza
Safi sana budget sio shida kwa mtoto mzuri mwenye shape lake mjini kama Lenie lazima niwe na 400k kwaajili yako ili uinjoy! Ila usije tu na genge la marafiki zako ukanikomoa.
 
Safi sana budget sio shida kwa mtoto mzuri mwenye shape lake mjini kama Lenie lazima niwe na 400k kwaajili yako ili uinjoy! Ila usije tu na genge la marafiki zako ukanikomoa.
Me mzungu siwezi leta jopo la watu akati nataka niifaidi hiyo hela yote mwenyewe😋
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…