Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu Paloma naipenda sana ile nyimbo yake ya "only love can hurt like this" ft Teddy Swims. Na ninamkubali sana kwenye "Pennyworth" tv showKuna wasanii wa kike kama Lana Del Rey, Paloma Faith, Christina Aguilera, Pinky wanaimba utadhani ni wanawake weusi bwana. Yaani wameiga Blues, Soul, Jazz, RnB na kuipatia kweli....
Alafu sauti yake na yako zimefanana sana!Ni hatari mashairi 🔥
Morning too.
Mpk nimejaribu kuimba hapa nijisikie 🤣Alafu sauti yake na yako zimefanana sana!
Eeh atutumie wadau tumsikilize tutoe comments zetu af tuseme kama anapata zawadi au anarudisha hela zetuSiri ni kwamba hata uimbe vipi huwezi kuisikia sauti yako ila mtu mwingine ndio anaweza kuisikia nakukuambia unaimba kama nani? Fanya kurecord alafu nitumie au mtumie Lenie atoe comment.
Nimekutumia txt pm jana nikiwa zakiem alafu ukajikausha? 😥Eeh atutumie wadau tumsikilize tutoe comments zetu af tuseme kama anapata zawadi au anarudisha hela zetu
Sijaiona nitumie tenaNimekutumia txt pm jana nikiwa zakiem alafu ukajikausha? 😥
Umenichomesha bure mafuta yangu 😥 nimejizungusha mpaka kule maji matitu ila ukajikausha! Una roho ngumu lakini.Sijaiona nitumie tena
Jana si unajua weekend, nilikua busy na mtoto wa mama mkweUmenichomesha bure mafuta yangu 😥 nimejizungusha mpaka kule maji matitu ila ukajikausha! Una roho ngumu lakini.
Leo jumamosi ninywe miwa kweli? 😂 Tutaenda agiza nyama kidogo na ka Hennessey hata cha 75k ila usiache kupiga mini skirt cunajua joto kali LenieJana si unajua weekend, nilikua busy na mtoto wa mama mkwe
Jioni nakushtua basi twende tukanywe juice ya miwa🍹
Safi sana budget sio shida kwa mtoto mzuri mwenye shape lake mjini kama Lenie lazima niwe na 400k kwaajili yako ili uinjoy! Ila usije tu na genge la marafiki zako ukanikomoa.Si nilikua nakutega nione leo budget ikoje pande hiyo🤣
Joto kali balaa, crop top na mini skirt itapendeza
Me mzungu siwezi leta jopo la watu akati nataka niifaidi hiyo hela yote mwenyewe😋Safi sana budget sio shida kwa mtoto mzuri mwenye shape lake mjini kama Lenie lazima niwe na 400k kwaajili yako ili uinjoy! Ila usije tu na genge la marafiki zako ukanikomoa.