Jamani au ndio mie😎wait a minute, nina rafiki yangu huniita Reina, (Le Reina), mpaka huwa anasahau my official name, nimefurahi eti..!😅
Mafundi sana hawaVincenzo Jr ongezea hii kwenye playlist yakoView attachment 3529331
😂😂😂😂Jamani au ndio mie😎
Subiri hali ya hewa ichangamke, haya mambo hayaendani na msimu wa joto 😁Depal ukwapi tuje tumoke cha arushaView attachment 3529345
Nimechoka walaqhi Tena 😂 😃 😃😂😂😂😂
Hapana, hamfanani vitu vingi mno..!
Mtumeee😃😃Subiri hali ya hewa ichangamke, haya mambo hayaendani na msimu wa joto 😁
Bila shaka muda huu ushatoka kazini, nipe playlist yako basi, nataka nianze kuchanja gomba huku nikisikiliza mziki mzuri.Subiri hali ya hewa ichangamke, haya mambo hayaendani na msimu wa joto 😁
Achana huyo mchumba wa kuitwa lauryn hill ni anachana mpaka basi.leo dada hi ngoma nikisikilazaga nakukumbuka tuView attachment 3529340
Mwamba roger milla, kisha anasifiwa fundi makanaky, mido ya boli hiyo..Obe unafahamu pepe kale aliacha kufanya kazi na diblo akiamini kimoko ni bora zaidi. Na hii ngoma inadhihirisha hiloView attachment 3529341
🤣 kumbe unaifahamu hii hatariiMwamba roger milla, kisha anasifiwa fundi makanaky, mido ya boli hiyo..
Cameroon 🇨🇲, mjini doula moja hiyo
Hatari sana hiyo ngoma..🤣 kumbe unaifahamu hii hatarii
Nipo Movie Box mpaka nimalize hii series, Jpl nitakupa gospel 😁😁Bila shaka muda huu ushatoka kazini, nipe playlist yako basi, nataka nianze kuchanja gomba huku nikisikiliza mziki mzuri.
Can't wait maan, finally something real after all this garbido.
For now drake can keep his Iceman shit, cole got us covered.Can't wait maan, finally something real after all this garbido.