Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 33,225
- 83,181
Mwana fundi sanaVincenzo Jr vanilla ndio alikuwa anajiita baraka the princeView attachment 3537630
Hili goma liko kwenye playlist yangu na huwa likuja baada ya kuwa nimesikiliza Dont Answer the Door ya BB King, nikikatiza daraja la Mkapa kuitafuta Nangurukuru kula samaki wasio kwenye foil ( ha ahahah Seran )Obe ongeza hii kwenye playlist yakoView attachment 3537655
Ningekuwa wingman wako kwenye kutafuta watoto wazuri 😁View attachment 3537645
If i were a boy, i would turn off ma phone
Tell everyone its broken, so they think that i was sleeping alone.. drink beer with the guys.. and chase after girls 😍 dosho12 si ungenisapoti au😁
thank you so much Poker, this has been appreciated like a lot..!!🙏Carleen i hope your well and i pray biashara yako ikuwe zaidi mi zangu dua na kheri kwako.View attachment 3538367