SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

😂 Hiyo wanakaa wapangaji ila kesho ntakuja huko unapajua amsha popo?
Hapana.. sipajui...
Kiukweli huko ni kwetu yaani nikisema naenda home basi ni moro ila kwa sasa sipo huko.

Huwa nakuja tu kusalimia so siijui mitaa vzr.

Kwetu ni hapo karibu kabisa na Uraia pharmacy.
 
Hapana.. sipajui...
Kiukweli huko ni kwetu yaani nikisema naenda home basi ni moro ila kwa sasa sipo huko.

Huwa nakuja tu kusalimia so siijui mitaa vzr.

Kwetu ni hapo karibu kabisa na Uraia pharmacy.
😂 Kwahyo saivi unakaa wapi kwani Demi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…