Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Hapo hapo nyuma ya sheliTrue kabisa kwa chambo unaenda azimio au hpo hpo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo hapo nyuma ya sheliTrue kabisa kwa chambo unaenda azimio au hpo hpo?
Kuna hardware hapo kubwa ya mgata bado ipoo? 😂Hapo hapo nyuma ya sheli
Yes ipo😀😀Kuna hardware hapo kubwa ya mgata bado ipoo? 😂
Mi nijirani yko basi nina nyumba hayo maeneo ya hpo nyuma ya pharmacy ya hpo karibu na sheli.Yes ipo😀😀
Kumbe mwenyeji wewe
Pharmacy ipi? URAIA?Mi nijirani yko basi nina nyumba hayo maeneo ya hpo nyuma ya pharmacy ya hpo karibu na sheli.
Inaitwa uraia ile ambayo ipo karibu na barabara ya vumbi ya kwenda azimio?Pharmacy ipi? URAIA?
Duh! Mbona kama tunaishi nyumba moja?Inaitwa uraia ile ambayo ipo karibu na barabara ya vumbi ya kwenda azimio?
😂 Hiyo wanakaa wapangaji ila kesho ntakuja huko unapajua amsha popo?Duh! Mbona kama tunaishi nyumba moja?
Hapana.. sipajui...😂 Hiyo wanakaa wapangaji ila kesho ntakuja huko unapajua amsha popo?
MswahiliAre you Chinese?
Safi sana maeneo gani siku nikija kwenye mihangaiko nije kukusabahi jirani!Chuga
Siku ukija niambie😀Safi sana maeneo gani siku nikija kwenye mihangaiko nije kukusabahi jirani!
OK okMswahili