Itakuwa una playlist kali🔥Thanks so much
Napenda sana hiyo huyo Kenya artist anajua sana.
Inabidi tuje tupeane Playlist maana we seem to have the same music taste
Basi you know where to find me if you need one..Itakuwa una playlist kali🔥
Hii nyimbo yangu pendwa huu mwaka😍
Sambaza io playlist yako chapBasi you know where to find me if you need one..
Definitely love that song
Not now and not here..Sambaza io playlist yako chap
Ukipata muda nsogezee kule kwingine utakuwa na vitu vyangu wwNot now and not here..
Okay, worry out naona kwenye zone ya muziki umepata mtu sahihi kabisa, I love music. Music give me everything kwenye raha na shida. I'll check on you tomorrow if you don't mindUkipata muda nsogezee kule kwingine utakuwa na vitu vyangu ww
Aya hamna shidaOkay, worry out naona kwenye zone ya muziki umepata mtu sahihi kabisa, I love music. Music give me everything kwenye raha na shida. I'll check on you tomorrow if you don't mind