SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

Screenshot 2023-02-19 000601.png
 
"They're lining up to prisoners
And the guards are taking aim
I struggle with some demons
They were middle class and tame
I didn't know I had permission
To murder and to maim
You want it darker".

Sijui Mungu alimfanya nini huyu bwana Leonard Cohen. Ukisikiliza huo mstari unaosema "...I didn't know I had permission to murder and to maim..." unaona anavokandia unafki wa Mungu kwa kuruhusu watu wauane tu japo tunaambiwa kuua ni dhambi ila yeye anaruhusu hilo litokee.

Ukiendelea kusikiliza huu wimbo kuna sehemu bwana Leonard anasema, "a million candles burning for the help that never came". Hapa kwa nilivyo muelewa ni kwamba, "mamilioni ya watu wanalilia na kuomba msaada ambao hauji. Yani Mungu unasikia na kuona vilio vyetu na maombi yetu vya kuomba msaada, ila umeamua kukausha tu. Afu anamalizia kuna sehemu anasema "Hineni Hineni I'm ready my Lord".
Hili neno Hineni kwa urahisi kabisa maana yake ni kwamba Mungu nipo hapa nitumie utakavyo licha ya mateso yote ninayopitia ila wewe ni mkuu na nipo tayari.

R.I.P LEONARD COHEN. Hii nyimbo aliiandika haswa. Na allihakikisha inakua released mapema kabla ya album kutoka, maana shortly baada ya kuwa released, nae alifariki.
 
Back
Top Bottom