SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

Kuna mdada mwngne anayeimba country music kama huyu . Unaweza mrecomend ili nianze mfuatilia?
Yah wapo yaan mimi country nasikiliza sana za wadada
Unaweza wasikiliza hawa..
Gabby Barrett
Lauren Alaina
Miranda lambert
 
Wakuu ni app gani unaweza ukaplay nyimbo online bila ya bando kutumika sana? Natumia boomplay lakini inanila bando sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…