SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

Screenshot_20230110-213018.jpg
 
Her style of singing and voice ni nzuri sana. Huyu dada anajua
Summertime sadness
Young and beautiful
Cinammon
Let me love you like a woman
Without you
Kuna wasanii wa kike kama Lana Del Rey, Paloma Faith, Christina Aguilera, Pinky wanaimba utadhani ni wanawake weusi bwana. Yaani wameiga Blues, Soul, Jazz, RnB na kuipatia kweli....
 
Back
Top Bottom