SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

😂
Screenshot_20230315-171504.jpg
 
Ulikuwa wapi kwanza maana kwanzia jana nakuita unagoma kuitika au ndio Carrasco putin ameanza kukurubuni na vihela vyake vya ngama?

Muache shemeji yako basi anipe raha za pekee jana kanibeba mgongoni [emoji176][emoji176][emoji176][emoji91][emoji91][emoji2223][emoji2223][emoji2223]
 
[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
😂 Furaha yangu nikukuona unabaki single forever mpaka uamue kuwa padre kabisa 😂 am romantic na pia am caring charming and loveable! Kwanini mrembo Tinsley asinipende! Aje apende muhuni wa buza.
 
Back
Top Bottom