SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

Screenshot_20230923-005418_YouTube Music.jpg
 
Ni app gani nzuri ya kusikiliza music mkuu
me naona boomplay haijawahi kunidisappoint. Wanatoa mpaka ofa, premium subscription now monthly nalipa 3500 tu.
Inakera tu pale napobadili simu.. zile downloaded songs hazirudi kama downloads. Zinaenda kaa kwa Favourite, so inabidi udownload upya.

Audiomack siwezi tumia.. matangazo na upuuzi wa kukosa baadhi ya nyimbo ni mwingi.

Sporty pia nzuri.ila ilinigomea premium. Nikaiacha

Apple music pia nzuri..
 
Nashukur sanaa ngoja nijaribu apple music
 
Back
Top Bottom