SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

8DB6CF45-A547-4239-9165-08C04170DF20.png
Katika hii album nyimbo zote kali ILA HII ISEE NI NOMA NYIMBO KALI MNOO🎧🔥🔥🔥
 
Album yao mpya umeisikiliza?
Little Mix Album ya mwisho wametoa 2020(confett)...baada ya hapo wakawa kimya, Jess akaja akajitoa..alitoa solo project haikufanya poa, leigh Anne naye alikuja na Solo project alifanya poa kiasi, Perrie ndo kaja this time na hiyo Forget about us..

Ni kama kundi lishavunjika...kabakia Jade peke yake kutoa solo project!
 
Back
Top Bottom