Feisal2020
JF-Expert Member
- Nov 15, 2018
- 1,113
- 2,656
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimejaaa tele wangu nitaku host nipo pande za Kilimani kama unaelekea Kiembe samaki😍😍😍😍 Nakuja huko next week, afu nimepoteza email yako shem.!!
Nishaandaa vikamba kamba vya 🏊♀️🏝️
Ntakucheki Nyanza boy 😂😂Nimejaaa tele wangu nitaku host nipo pande za Kilimani kama unaelekea Kiembe samaki
Ina maana Mimi sina meno au? 😁😁😁Ntakucheki Nyanza boy 😂😂
Ww huna madhara ko huntishi mwanangu
Ww nyuki wa mashineni 😂😂😂Ina maana Mimi sina meno au? 😁😁😁
Angalia usije ukateleza halafu ukaning'ang'ania ushindwe kurudi kwenu
Utajichanganya tu. Halafu yakatokea kama ya yule mtoto wa tajiri wa Kihindi aliyetoroka kwao na kurudi tena kukaa Porini na Mmasai kule Kenya 😁😁😁Ww nyuki wa mashineni 😂😂😂