Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijajua kaka nambie 😎Haujui kupenda,
Moyo wako hewa.
Wengi tumejifunza
Ila mwenzetu umechelewa.
Ahahahaha unajua kachora nani hiyo lyrics
Hizo kazi za poor brain kaka angu 😁😁😁😁😁Sijajua kaka nambie 😎
Kama hujui kupenda wewe ni mlemavuNi mzuri anatafutwa na wengi anajiona keki😁😁
😁🤣🤣😁😁😁 Jamaa anajuaNi mzuri anatafutwa na wengi anajiona keki😁😁
Naunga mkono hoja kaka 😂😁 Cc ephen_Hizo kazi za poor brain kaka angu 😁😁😁😁😁
Naam ndio ndio 😎Midekoo inabidi aitwe kwenye ule uwanja wetu wa ngoma 🎶
Usijali ushaupata😊Nasubiria mualiko...