SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

Cc mshamba_hachekwi ephen_ min -me
Screenshot_20250207-002010.jpg
 
Juzi kati nilidumu na roho mbaya haijengi, wema hazina ya mungu vibao toka kwa mama yangu mwanahawa ali
Sikusikiliza tena mziki mpaka leo hii

Leo nimesikiliza sana msondo ngoma, vibao kama tuma, arabia, nitakaza moyo, penzi kizungumkuti na rabana aisee ni hatari.

Sasa hivi nasikiliza ngoma za jagwa na marehemu omary omary, hii ngoma kupata majaliwa inanifanya nimuombe dua marehemu apumzike kwa amani.
 
Back
Top Bottom