Wadudu wepi hao, picha tafadhali. Mi kwa chakula cha baharini napenda kila aina ya kiumbe kilichomo humo ndani kasoro taka taka zitupwazo na wanadamu tu, mfano vinyesi, kondomu, maplastiki, chemicals, magari na pikipiki zilizotupwa toka melini, upuuzi mwingine.