Sea food gani unaipenda?

Sea food gani unaipenda?

Lobster,prawns,pweza,calamari na Ndugu zao Samaki
 
King fish ni balaa. Kwangu mimi huyu ni samaki mtamu kuliko wote
 
Mi sea food sikubali kabisa,labda za majani ila sio hawa wadudu!


Wadudu wepi hao, picha tafadhali. Mi kwa chakula cha baharini napenda kila aina ya kiumbe kilichomo humo ndani kasoro taka taka zitupwazo na wanadamu tu, mfano vinyesi, kondomu, maplastiki, chemicals, magari na pikipiki zilizotupwa toka melini, upuuzi mwingine.
 
Back
Top Bottom