Inashangaza kusikia eti leo mkongo wa Seacom umekatika Misri then all providers wako down. Hivi hakunaga backup link kama Satellite na nyinginezo. Yaani nchi nzima inasimama kisa Seacom kuwa down. This is bullshit. # Colorado Out!
mkuu una ushahidi na unayosema? Mbona mi toka asubuhi nipo net na hamna tofauti yoyote?
Tatizo ni la watu wa tigo tu
hapana tangu jana mchana net zilikuwa zinasumbua kwa mitandao yote mi natumia airtel, vodacom, tigo na zantel lakini zote zilinitoa nje
hivi hii satellite inaweza kuwa na speed kubwa kiasi cha kufikia 6Mbps?kuna isp wengine wako hewani since wanatumia satelite kama backup.kwa wale msiokuwa na backup mtaisoma namba hasi hadi mjifunze na kuacha kuwa wabahili.
hivi hii satellite inaweza kuwa na speed kubwa kiasi cha kufikia 6Mbps?