Mr Kicheko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 789
- 216
Hiyo ya kubundi siku hizi wanaibana speed sana inakuwa haipandi 1Mbps then wanakuja kuichia saa 8 usiku ila ikifika saa 11 ndiyo unapata 6Mbps so why wale wa bundle za unlimited na Utamu wa Paje mida ya mchana wanakamua tu hakuna sijui cha mkonge wala nini.Hacha pumba mkuu Hiyo Guru haifiki ki hivyo kwanza nasikia wadau wamejitoa kiroho safi!!! Anayepata 4mbps siku ya leo ajitokeze iwe wa kubundi au wa bundle full kujiachia mwezi![]()
Last edited by a moderator: