SEACOM outage: ISP wa Tanzania bado sana! Internet yawa kero kwa watumiaji

SEACOM outage: ISP wa Tanzania bado sana! Internet yawa kero kwa watumiaji

icon13.png
Hacha pumba mkuu Hiyo Guru haifiki ki hivyo kwanza nasikia wadau wamejitoa kiroho safi!!! Anayepata 4mbps siku ya leo ajitokeze iwe wa kubundi au wa bundle full kujiachia mwezi
Hiyo ya kubundi siku hizi wanaibana speed sana inakuwa haipandi 1Mbps then wanakuja kuichia saa 8 usiku ila ikifika saa 11 ndiyo unapata 6Mbps so why wale wa bundle za unlimited na Utamu wa Paje mida ya mchana wanakamua tu hakuna sijui cha mkonge wala nini.
 
Last edited by a moderator:
Wanajamvi HEBU tufahamisheni, kunani? Si ipad, si iphone, si smartphone, laptop na desktop ndio kabisaaaaaaaaaa!!!! Unaenda kuoga ukirudi bado tu ukurasa haujafunguka, kulikoni? Very dissatisfied and disappointed.
 
Aisee kaka ni kotee hata tiGO majanga tuu hakuna kinachofanya kazii
 
kuna tatizo kwenye mkonga wa mawasiliano ulioko baharini,jana tigo walini2mia sms,kwa taarifa.
 
Sasa hapa mnatumia nini.......? Mbona mmepost........?
Yaani speed ni ya konokono, kupost hapa nimeenda kilombero sokani, nimerudi huku matejoo ndo nakuta inaanza kufunguka!
 
Zantel na Tigo ni balaa hupati kitu
Airtel very very slow yaani inaboa

Voda ina afadhali kwa mwendo wa Voda yaani ipo kama kawaida ila ukilinganisha na sisi tuliozoea Zantel (downloading) bado tunaona matatizo
 
AshaDii wewe unatumia nini?

Alter mie huwa nakuwa na Modem mbili, Vodacom na Zantel alafu zote na subscribe bundle ya 5GB. Hapa karibuni kuna tatizo la internet mitandao yoote, but walau with Vod na Zantel you get through. Moja ikiniboa natumia nyingine... Kwa Airtel Modem, mie naona bomu kabisa, labda tu kwa mobile users...
 
Wanajamvi HEBU tufahamisheni, kunani? Si ipad, si iphone, si smartphone, laptop na desktop ndio kabisaaaaaaaaaa!!!! Unaenda kuoga ukirudi bado tu ukurasa haujafunguka, kulikoni? Very dissatisfied and disappointed.
chonka abaaya mwetusa! Mbwenu wayenda kutugambililamu okwooina ebili omuliikutukula byona? Kwani kawakugambile oti omutandao gubi titwakueleiwe??????
 
Back
Top Bottom