SEACOM outage: ISP wa Tanzania bado sana! Internet yawa kero kwa watumiaji

Hata mie ninapata tatizo nikitumia bundle ya airtel. Lakini nimehamia voda mambo supa!!!
 
Afanaleki hata hii ya kubundi naona iko miguu juu kitu mwendo wa 20-50kb/s hata stream ya 240P inagoma goma dah.

haya mwana...... another challenge.... angalia video hii. wakati guru akidownload kwenye maharibiko yako ya kubundi... guruVideo - YouTube
[video=youtube_share;2cGKNF07NQI]http://youtu.be/2cGKNF07NQI[/video]
 
Mi naona sawa tu maana sijuagi mambo ya mkonga
 
Ni mkonga ndio unashida. Vodacom naona wapo vinzuri haisumbui sana, nadhani hawategemei mkonga peke yake.
 
Nawashukuru wote, hapa tayari Nina line ya Vodacom na moderm yake.
Baba V, I missed u, nilihama kabisa CC. Mwenyekiti unarudi toa taarifa, mbona uliaga vizuri kwa ile nyingine?
 
Last edited by a moderator:
mie net ipo, nashusha movies tangu wametangaza mi sijaona kupotea net
 
Inashangaza kusikia eti leo mkongo wa Seacom umekatika Misri then all providers wako down. Hivi hakunaga backup link kama Satellite na nyinginezo. Yaani nchi nzima inasimama kisa Seacom kuwa down. This is bullshit. # Colorado Out!

Hizi habari za mkongo ni TTCL.

Bwana Kazaura wa TTCL hivi karibuni alisema wanaangalia uwezekano wa kupata backup kutoka Afrika Kusini.

Nafikiri mambo ya Cost Benefit Analysis yanahusika.
 
Wanajamvi HEBU tufahamisheni, kunani? Si ipad, si iphone, si smartphone, laptop na desktop ndio kabisaaaaaaaaaa!!!! Unaenda kuoga ukirudi bado tu ukurasa haujafunguka, kulikoni? Very dissatisfied and disappointed.
ni kweli na kama unatumia moderm ya Airtel Unapata JF tu.
 
Hizi habari za mkongo ni TTCL.

Bwana Kazaura wa TTCL hivi karibuni alisema wanaangalia uwezekano wa kupata backup kutoka Afrika Kusini.

Nafikiri mambo ya Cost Benefit Analysis yanahusika.
sasa fikiria hadi leo hii TTCL hawana internet...kama ndio provider wako na hauna backup UMEUMIZWA mzee. Sisi hapa ofisini tuna wireless ya TTCL na vodacom at least Vodacom yuko up
 
Dear Customer,we have problems with our undersea cables affecting our Blackberry&Internet services,we are working to resolve.Sorry for the inconvenience .
Hawa ni AIRTEL...
 
Dear Customer,we have problems with our undersea cables affecting our Blackberry&Internet services,we are working to resolve.Sorry for the inconvenience .
Hawa ni AIRTEL...
Utafikiri kweli cable ni ya kwao!!!
 
Is vodacom working? And by working i mean 300KBps and up?
 
Airtel ndiyo wamerushia sms muda huu kututaarifu tatizo la Mkongo huko baharini!
 
Napenda kuwataarifu wale wenzangu na mimi wa Airtel (Unlimited Siku Tatu) et al..., kwamba sasa hivi mambo ni mazuri hii ni baada ya kukwama kuanzia jana asubuhi 🙁 (sijui nikadai pesa yangu au vigezo na masharti vitazingatiwa..) ?

Anyway its back do normal now
 
Airtel msg:

Dear Customer,we have problems with our undersea cables affecting our Blackberry&Internet services,we are working to resolve.Sorry for the inconvenience
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…