Sean “Diddy” Combs ahukumiwa kifungo cha miaka 4 gerezani

Sean “Diddy” Combs ahukumiwa kifungo cha miaka 4 gerezani

Nyundo 4 ni Degree ya Engineering pale DIT.
Iko si kifungo ni pumziko la muda mrefu.
 
Mbona Robert Kelly alikula mvua nyingi namna ile, 30yrs behind bars akitoka hana lolote la kuifanyia dunia.
Combs was lucky I guess!!
 
Hapa ni bora tu turahisishe zoezi kwa kukuita mbwaa! maana hizo pesa za kuzipata ili ufanyie maovu, hutokuja uzishike kamwe.

Pesa zako zote utakazo zishika kuanzia sasa utazipeleka kwa Nabii/Mtume/Askofu Mwamposa kama fungu lako la 10! Ooh! Halleluya! Shaghala bhataka! Tata ta.....
Aiseee... Unaniokoa kuzimu halafu unanipeleka kwa Mwamposa kweli, namana na mimi nikapange msitari nianze kupokea chupa afumoja za mafuta nipeleke home Muliro aje anidake, maana kama wakuu wa dunia wamesema huko kwao ni kosa la jinai sisi ni nani tupinge.
 
Mbona Robert Kelly alikula mvua nyingi namna ile, 30yrs behind bars akitoka hana lolote la kuifanyia dunia.
Combs was lucky I guess!!
Double standard mara kadhaa trump alisikika akitamka kumuona huruma na kuimaliza kesi yake

Kashfa alizokuwa nazo ni nzito kuliko za R.Kelly so haikupaswa apewe kifungo kifupi hivyo

Though even if akimaliza kifungo chake itakuwa ni ngumu sana kusafisha Brand yake , Kuna makampuni mengi sana yatakuwa Yana mkwepa ni kama yale ya Michael Jackson

Naona wameamua kumpunguza speed
 
Naomba kuuliza uko atafungwa cello yake au atachanganywa na mwana mmoja!?au ndo kama yale mambo ya kwenye prison break!?
 
Diamondi atakosa unyumba Kwa miaka yote 4 au kuna namna atakua anaruhisiwa kumtembelea?

Wajuzi WA sheria tuambieni
 
Back
Top Bottom