SEARCH FOR DEPUTY CHIEF JUSTICE IN KENYA

SEARCH FOR DEPUTY CHIEF JUSTICE IN KENYA

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2011
Posts
12,357
Reaction score
6,424
Wadau angalia commissioners wanavyomhoji mgombea wa nafasi hiyo Kenya_ KBC live.
 
Wadau angalia commissioners wanavyomhoji mgombea wa nafasi hiyo Kenya_ KBC live.
Yani hata kwetu inahitajika iwe hivi. Watu wa apply wafanyiwe interview live apatikane mtu competent ambaye hatokuwa mpambe wa mtu maana hakuwekwa na mtu yoyote.
Niko natazama haoa CITZEN
 
Jamani haya mambo lini yatafika Tanzania?Sisi ambao hatuna wakubwa wa kutusaidia kwenye uteuzi tutapataje chance kama hizi?Big up Kenya sisi huku ni uteuzi na huenda tukafika kuteua katibu tarafa maana sasa wako kwa MADAS
 
Back
Top Bottom