Searching for "wife to be"

Searching for "wife to be"

sasa hivi wanakuja
utawaona

mafanikio mema.
 
Ayaaaa, sifa zote ninazo, kasoro mi ndio nimegraduate form iv.
 
Ayaaaa, sifa zote ninazo, kasoro mi ndio nimegraduate form iv.


Usikate tamaa best, muombe anaweza kukufikiria..........si umepata krediti za kukupeleka ualimu
 
Umri wangu ni 33yrs,mkristo,elimu ya chuo na nimfanyakazi, Mrefu na umbo la kimichezo. Napenda kucheza Volleball na bascketball pia kuhudhuria kanisani.
NIMTAFUTAYE:
-Mkristo
-Umri 22 to 29yrs
-Elimu ya chuo,mwanachuo anaye tarajia kumaliza mwaka huu au form six.
-Binti mwenye constructive thought na muelewa
-Mrefu au mrefu kiasi,asiwe mfupi Pls
-Umbo la wastani,asiwe mnene
-Awe tayari kucheck Afya na asiwe na maradhi ya kurithi (kifafa n.k)

Pls for only who are serious.

Singe kizazi hiki cha bongo fleva umtangulize na mungu sana katika swala hili kwani nalo ni janga la kitaifa...
 
Back
Top Bottom