kiazikitamu
Member
- Dec 14, 2010
- 20
- 3
Adakiss sidhan kama kuna sehemu nimeomba mtu wa kulea mwanangu.. Maana hilo nalimudu mwenyewe
Baba mtoto yuko wapi?
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
hilo ni moja,ukiwa mume automatically unakuwa baba mleziunatafuta mume au baba mlezi?
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 28 n nna mtoto mmoja.. My love life has been a tragedy n now najisikia nashindwa kupenda tena, siwezi tena hata kuwa na furaha.. Natafuta mwanaume mkweli ambaye nae amepitia kwenye misukosuko and anaelewa nn maana ya kuumia na sasa yu tayari kutulia na kuanza upya..au naombeni ushauri wadau humu ndani nifanye nn ili niwe na furaha tena kama zaman?
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums