Searching

Searching

Kiazi kitamu,uko wapi?possibly unafanana na mimi!Nijibu.
 
@ daffi mi nipo Dar.. Wewe upo wapi?? I know someone with that same name

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Adakiss sidhan kama kuna sehemu nimeomba mtu wa kulea mwanangu.. Maana hilo nalimudu mwenyewe
Baba mtoto yuko wapi?
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums



Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
adakiss "yupo"

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 28 n nna mtoto mmoja.. My love life has been a tragedy n now najisikia nashindwa kupenda tena, siwezi tena hata kuwa na furaha.. Natafuta mwanaume mkweli ambaye nae amepitia kwenye misukosuko and anaelewa nn maana ya kuumia na sasa yu tayari kutulia na kuanza upya..au naombeni ushauri wadau humu ndani nifanye nn ili niwe na furaha tena kama zaman?

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

chagua vizuri hizo pm zitakapokuja... ,wanaume sio wa kucheza nao,usidhanie historia yako kuwa umeumizwa in the past ataipa kipaumbele,yeye kwake hio ni hadith,atakugegeda vizuri akuache,uendelee kuteseka moyoni kwa kifupi nilitaka kukuambia usionyeshe mapungufu yako mtandaoni,,,kuna wanaume watatake advantage na vulnarability wakuumize zaidi
 
Kwani zamani ulikuwa na furaha gani ambayo sasa hivi huna?
Kama hujui, hiyo uliyonayo ndiyo furaha vinginevyo unajitafutia matatizo humu.
 
Back
Top Bottom