Freelancer Wakala
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 1,193
- 828
Season ya Antlantis
Bongo Movie
Nowadays, Seasons ni habari ya mjini kwasasa,Why Bongo Movie kimyaa?
Wakati tuna waigizaji wa kweli Hapa Tanzania?
Ikiwemo Ray,Richie Rich,Lulu,Wema sepenya nawengineo wengi.
Why bongo movie haivumi? Ili nasi tutoboe kimataifa kama Bongo wa Flavor?