EA radio ilibadilisha strategy wakaanza kutumia kiswahili kwa wingi coz matangazo mengi yalikua yanatoka Tanzania na pia ili waende sambamba na clouds.. So those guys were told to use kiswahili in their shows, and those who couldn't cope up with that left... e.g Bush baby, Steve kafaya, and some others... As a result, na sisi tumehamia choice FM. Don't know about Seba
Mbona aliaga long time kuwa anaacha kutangaza EATV anaendelea na mambo mengine.........
Nilisoma nae ana sauti ya ukwee
EA radio ilibadilisha strategy wakaanza kutumia kiswahili kwa wingi coz matangazo mengi yalikua yanatoka Tanzania na pia ili waende sambamba na clouds.. So those guys were told to use kiswahili in their shows, and those who couldn't cope up with that left... e.g Bush baby, Steve kafaya, and some others... As a result, na sisi tumehamia choice FM. Don't know about Seba
Hivi kwanza alisomea hata Mass com? pale UD au kajaaliwa Saut yule mkaka.
hajasoma Mass com wala nini kasoma Philosophy na sociology huko
ni sauti tu alianza kutangaza hata kabla hajaanza chuo
Nimekusoma mkuu. it's no wonder Flavour wa Drive show jioni sasa hayupo na aliyepo ni full Kiswahili.
kumbe ndio maana zembwela pale amekuwa star! nimeshaelewa sasa.
ok yeah nilisikiaga kasoma sociology sijui kumbe kweli ila saut anayo na hilo ndo muhimu.
huwa sikosi kusikiliza ea radio jumamosi kwa sababu ya uhodari wake lakini sasa sisikilizi na sijui nani kabadiliUnamzungumzia Sebastian Mwaikambo or?
wale ipp walienda kupeleka mitambo yao kule kichwa kichwa, ili takiwa waweke Eatv kila nchi kenya na uganda ila ziwe zinajitegemea lakini kuwe kuna vipindi vichache viwe vinaonekana sehemu zote yaani kenya na uganda hapo wangepata matangazo kwenye nchi hizo sasa wenyewe wamebase bongo vipindi vyoote, ndoo maana matangazo mengi yanatoka tanzania wakenya na waganda hawaangalii hiyo tv (hayo ni mawazo yangu tu)
saizi wapo kibiashara saaana ndoo maana wanaonesha movie tu kila siku, hata watangazaji wazuri hawana alafu kuna mdada mmoja hivi huwa anaingiza sauti kwenye uswazi jina lake meena brilliant kika sijui kama yupo pale daaa yule dada yupo fresh saaaanaKulikuwa na Strictly Kenya na Uganda Central tena hiki cha Uganda alikuwa anatangaza Bushbaby na enzi zile kulikuwa na viewrs wengi wa nje kwa kuwa walikuwa wanavipindi visivyo base upande mmoja ila sikuiz eatv kiukweli imefulia.
LUBEDE niniHee,HoE tena?
Kweli kipaji ni muhimu ila shule inakuja kukiboresha. Ndipo umuhimu wa shule unapoonekana.
Zembwela naye mtangazaji?
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums