Seba Wa EA Radio Yuko Wapi?

Seba Wa EA Radio Yuko Wapi?

EA radio ilibadilisha strategy wakaanza kutumia kiswahili kwa wingi coz matangazo mengi yalikua yanatoka Tanzania na pia ili waende sambamba na clouds.. So those guys were told to use kiswahili in their shows, and those who couldn't cope up with that left... e.g Bush baby, Steve kafaya, and some others... As a result, na sisi tumehamia choice FM. Don't know about Seba

Yani mi hata frequency zingine sizijuagi....choice ndio mwisho wa burudani
 
EA radio ilibadilisha strategy wakaanza kutumia kiswahili kwa wingi coz matangazo mengi yalikua yanatoka Tanzania na pia ili waende sambamba na clouds.. So those guys were told to use kiswahili in their shows, and those who couldn't cope up with that left... e.g Bush baby, Steve kafaya, and some others... As a result, na sisi tumehamia choice FM. Don't know about Seba

Nimekusoma mkuu. it's no wonder Flavour wa Drive show jioni sasa hayupo na aliyepo ni full Kiswahili.
 
Zembwela naye mtangazaji?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Nimekusoma mkuu. it's no wonder Flavour wa Drive show jioni sasa hayupo na aliyepo ni full Kiswahili.

I just miss kafaya pale Uganda central... Ilikua mzuka sana....
 
kumbe ndio maana zembwela pale amekuwa star! nimeshaelewa sasa.

Yani sasa hizi wanawalazimisha kuongea kiswahili.. Kama una sikiliza top 9@9 ya kina Kennedy the remedy, utaskia yule mwenzake anavyosota... Mary the night nurse alikua anabamba enzi hizo, listen to her now....
 
wale ipp walienda kupeleka mitambo yao kule kichwa kichwa, ili takiwa waweke Eatv kila nchi kenya na uganda ila ziwe zinajitegemea lakini kuwe kuna vipindi vichache viwe vinaonekana sehemu zote yaani kenya na uganda hapo wangepata matangazo kwenye nchi hizo sasa wenyewe wamebase bongo vipindi vyoote, ndoo maana matangazo mengi yanatoka tanzania wakenya na waganda hawaangalii hiyo tv (hayo ni mawazo yangu tu)
 
Kulikuwa na Strictly Kenya na Uganda Central tena hiki cha Uganda alikuwa anatangaza Bushbaby na enzi zile kulikuwa na viewrs wengi wa nje kwa kuwa walikuwa wanavipindi visivyo base upande mmoja ila sikuiz eatv kiukweli imefulia.
 
saizi wapo kibiashara saaana ndoo maana wanaonesha movie tu kila siku, hata watangazaji wazuri hawana alafu kuna mdada mmoja hivi huwa anaingiza sauti kwenye uswazi jina lake meena brilliant kika sijui kama yupo pale daaa yule dada yupo fresh saaaana
 
Back
Top Bottom