United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
Duh hii habari nimekutanayo some where
Yule mchezaji wa ivory coast aliyekipiga ajax msimu uliopita hadi akakaribia kuchukua kiatu Cha mfungaji Bora wa champions league Sebastian haller yupo kitandani akisumbuliwa na saratani ya korodani
Jamaa kama ajax asingetoka mapema msimu uliopita Kweny UEFA basi alikua na uwezekano mkubwa wa kubeba kiatu Cha dhahabu
Baada ya kukiwasha sana kweny UEFA msimu uliopita na ajax Dortmund wakamsajili kwaajili ya msimu wa 2022/23 lakin Kwa bahat mbaya baada ya mda kidogo kupita kagundulika ana cancer ya korodani hadi xaxa jamaa yupo kitandani
Wale Wapenzi wa mpira tumuombe aweze kurejea kweny soka issue kama hii iliwah mtokea mchezaji wa zamani wa new castle united Jonas Gutierrez ila jamaa alipigawaniwa hadi akarejea uwanjani
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
View attachment 2337413