Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna Kampeni moja ya Ubunge mwaka 1990 kati ya Kinyondo na Lutaraka(wote walikuwa CCM enzi hizo),
sasa kampeni zilifika hadi kwa Watumia Kilaji "cha Kienyeji", mnywaji mmoja akawa anasimulia jinsi Kinyondo alivyokuwa Kiboko jamaa anasema kwa kihaya " OLO NAGAMBILE KINYONDO MUSHAIJA, BAI MUWE AKALITA" akimaanisha " kila niliposema Kinyondo Mwanaume, watu wanasema niongezewe Chupa nyingine".