Sebastian Maganga ametoka Clouds Media Group?

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
Nimesikia sasa ile nafasi ya ya Sebastian Maganga, Meneja vipindi wa Clouds Fm Ruge amempa muhaya mwenzake Shaffih Dauda.

Ina maana Sebastian Maganga wamemtimua ama ni vipi?
 
Kweli Seba ametoka Clouds, bado siamini
 
Nasikia kahamisha makazi yake Abuudhahabi na amefungua Clouds ya huko
Hata akihamishia makaz mbingun bado yeye ndio CEO... arabun wanafungua HQ za clouds...

kama Ruge kachukua nafasi ya Kusaga... Kusaga n nani sasa? au kaiuza Clouds?
 
Nimesikia sasa ile nafasi ya ya Sebastian Maganga, Meneja vipindi wa Clouds Fm Ruge amempa muhaya mwenzake Shaffih Dauda.

Ina maana Sebastian Maganga wamemtimua ama ni vipi?
Swali zuri mkuu. Ngoja tuwangoje wenye taarifa.
Swali
 
Nimesikia sasa ile nafasi ya ya Sebastian Maganga, Meneja vipindi wa Clouds Fm Ruge amempa muhaya mwenzake Shaffih Dauda.

Ina maana Sebastian Maganga wamemtimua ama ni vipi?

Mbona huulizi pia na yule Dada mwenye mikogo aliyekuwa Bosi hapo kama Mhariri Mkuu Joyce Shebe yuko wapi kwani hata yeye pia nafasi yake imechukuliwa na Mwandishi wa Habari mchapakazi na wa siku nyingi katika tasnia hii Bwana Jerome Risasi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…