Sebastian Maganga ametoka Clouds Media Group?

Sebastian Maganga ametoka Clouds Media Group?

Kwahiyo huku kuniita kwako una maana mimi ndiyo mbea sana humu au? Shika adabu yako.
Sakata la Gardner kurudi clouds lilkanifanya nione Unaweza kuwa na information nzuri kutoka ndani ya Mawingu.
 
Sakata la Gardner kurudi clouds lilkanifanya nione Unaweza kuwa na information nzuri kutoka ndani ya Mawingu.

Kwahiyo watu wote tuliopo humu umeniona mimi tu kuwa ndiyo mpata taarifa mkuu za hao mawingu? acha hizo wewe!
 
Na umenisumbua kweli mkuu ila yameisha na endelea kuhabarika, kuburudika na kuchangia michango JF. Tupo pamoko!
Ila mkuu kiukweli jamaa angechelewa kukuita basi mimi ningekuita muda mrefu.

Sababu ya kukuita ni hii:
Taarifa zako ni za kuaminika kwa 85%.
 
Seba kachukua nafasi ya Ruge na Ruge kachukua nafasi ya Kusaga.
Kusema Ruge kachukua nafasi ya Kusaga ni sawa na kusema Joyce Mwavile kachukua nafasi ya Dr.R.Mengi!

Ruge hawezi kuchukua nafasi ya kusaga wala hawezi kukasimu!
 
Eti wanamesema imebahinika wewe ni mwanaume wa Dar

Mkuu zile dharau zako na yale matusi yako kwangu wiki iliyopita pale nilipokuja na uzi humu wa kusema kuwa mtangazaji maarufu Gadner G. Habash anarejea rasmi Clouds Media Group yamefikia wapi? Je nililolisema limetimia au halijatimia? Chuki zako na wivu wako kwangu wewe pamoja na wenzako baadhi humu ndiyo kunanijenga na kunifanya nizidi kuwa maarufu na kipenzi cha watu hivyo nawasihi tu msichoke kuendele kunichukia na kunionea wivu. Lazima ifike muda na wakati mkubali kuwa binadamu tumetofautiana sana katika KARAMA na nina zawadi au kipawa ambacho Mwenyezi Mungu amenipa wewe pamoja na wenzako hamna na hamta kuwa nacho hivyo tujaribu kuheshimiana. Nimekudharau hadi nikiona tu post yako nasikia kichefuchefu! Halafu usivyo na aibu pamoja na kunidhihaki kote kule leo tena umenifuata huku. Nyota yangu ni ya JAHA Mkuu hutaipata wala hutaniweza! Nimemaliza.
 
GENTAMYCINE ujue watu wanakukubali usichukie,kama bado uko bed amka piga pushup nane urudi tena bed

Kujua kuwa watu wananikubali nalijua sana tu Mkuu hilo na kigezo kikubwa cha kujua kuwa watu wananikubali ni pale wanaponichukia, kunidhihaki na kunikejeli lakini hapo hapo kila waki log in tu JF wanaanza kwanza kutafuta GENTAMYCINE leo kaja na nini humu. Umaarufu wangu au uwezo wangu una BARAKA ZOTE KUTOKA KWA MWENYEZI MUNGU na ndiyo maana NAJIAMINI mno. Najua kuwa nimeshateka mioyo ya wengi humu ila kuniambia tu wanaona aibu!
 
Back
Top Bottom