Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,788
- 34,782
Anaitwa Alex luambano, nikupe namba yake akakuzagamue?Dyadya kuna mtangazaji wa clouds kipindi cha sports...mweusi hivi unamfatiliaga?namsahau jina....mweusi kama huy mlinzi...jamani hiyo sauti yake sasa...nakaaga saa3 naskiliza kipindi ingawa sina nachojua...sijui ndpo jeff leah...ah sijui hebu fatilia
Kosea kote usiolewe n mwanaume mzuri..kwanza wanadeka...kubadili tu bulb shida..ukimkuta room anajichek kwa kiooWanaume sura mbaya wanavutia sana kwa wanawake wanaojitambua sababu wanajua kuuishi uanaume
Hapana..umri umenitupa mkono..namuadmire tuAnaitwa Alex luambano, nikupe namba yake akakuzagamue?
Ila sura mbaya bila pesa bado ni yaleyale tu.Ama kweli hata nami nimefarijika sana. Sasa hivi najidai kidogo.
Manake hili lisura langu la Kisukuma....hmmm.
Bull bull piga game na combat zako mzee
Umemaliz
Bila shaka Kuna Mtu kishakuongopea huko Twitter, na mlivyo wajinga mna-swallow tu.Huyu ni kaloli chonde
Yaani tembea kifua mbere, wanaume waliogusa moyo wangu wote wana sura privateNa nilivyo na sura personal njoo unichukue tu Kwakweli 😅
Kumbe ninasoko pia
Yaani tangu JLW livunjwe...tunaonana kwa shida sana na shoga angu Evelyn Salt🤣🤣🤣🤣 kvant na smirnof🤣🤣🤣ila ww madame shenzi kbs ujue..kuna wanaume wamespeciliaze kupapasa nipples..dah....achaaaaaa.....hata kama ni talkative kama wangari unabaka kushukuru Mungu kimya kimya..wapi
Evelyn Salt
Mwanaume uwe mzuri then huna hela mie nakasirikaga muda wote 24/7...uwe bas mzuri hela unayo tutavumiliana....hawa tunaowaadmire mara nyingi wana pesa..umewah ww pewa atm card ukajisevie unachotaka tena sio acounr ina 600k...kitu kimesimamia 34m huko? Tena unamwacha room! Hana shidaaaaaa...asalaaaleIla sura mbaya bila pesa bado ni yaleyale tu.
Huyu jamaa wanamsifia sura yake kwakua mpunga pia upo.
Hawataki mwanaume mwenye sura mbaya, bali mwenye sura mbaya na hela😅
Hayupo, tatizo ndo hilo. Mwibeni huko alikoLeo huachiliwi.
We mlete mjeda wako jamani
Hao siwezi kuwa nao kwa siku 1,, naweza jifanya mi ndo dume Nina dharau sana kwa watu aina hiyoKosea kote usiolewe n mwanaume mzuri..kwanza wanadeka...kubadili tu bulb shida..ukimkuta room anajichek kwa kioo
Ohoooo basi tena.....imekula kwangu 🤣🤣Ila sura mbaya bila pesa bado ni yaleyale tu.
Huyu jamaa wanamsifia sura yake kwakua mpunga pia upo.
Hawataki mwanaume mwenye sura mbaya, bali mwenye sura mbaya na hela😅
Hawajatenda haki, ona sasa tunatoa stress zetu kwenye majukwaa yasiyofaa[emoji57]Yaani tangu JLW livunjwe...tunaonana kwa shida sana na shoga angu Evelyn Salt
Kwanini lakini walilivunja, ni haki yetu kikatiba kuwa na vitu kama vileYaani tangu JLW livunjwe...tunaonana kwa shida sana na shoga angu Evelyn Salt
Nyie huyu jamaa ana nini, mi mbona sijamuelewa... hahahahha au msiba umenivuruga.
Tunadetermine umbo lake na rangi yake .mengine iachie ccmNyie huyu jamaa ana nini, mi mbona sijamuelewa... hahahahha au msiba umenivuruga.
Tuandamane bestKwanini lakini walilivunja, ni haki yetu kikatiba kuwa na vitu kama vile
Sijawah kuwepo huko..dohHawajatenda haki, ona sasa tunatoa stress zetu kwenye majukwaa yasiyofaa[emoji57]
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Sura mbaya+mpunga uwepo na awe kaumri flani hivi 43-48 aaaaawwwh utamu wake usipime,Ila sura mbaya bila pesa bado ni yaleyale tu.
Huyu jamaa wanamsifia sura yake kwakua mpunga pia upo.
Hawataki mwanaume mwenye sura mbaya, bali mwenye sura mbaya na hela😅