Sebastian Mwavanga: Mlinzi wa Rais Magufuli aliyevutia wengi

Sebastian Mwavanga: Mlinzi wa Rais Magufuli aliyevutia wengi

Nimejikuta namkumbuka huyo mwamba baada ya kupitia uzi mwingine kuna jamaa katupia picha ya mwingine.
 
...
Huwa wanapenda black and tolu guys..ila wanataka kuzaa watoto shombe shombe..wanawake ni viumbe wa ajabu sana..ndio mana ukikamata we peleka moto tu.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
....wanapenda tolu blaki guy, wanataka kuzaa na shombeshombe, wanataka kutoka na mwenye hela, halafu wanataka kushinda na mchekeshaji.
 
Back
Top Bottom