Sebastiani Ndege ni Jembe

Huyu jamaa ni mtu poa sana Alikuwa anaendesha kipindi.cha njia panda clouds fm akiwa na rafik yake Dr Isack Maro alisaidia watu wengi sana kwenye kipindi chake, pia alikuwa doctor wa wanawake Muhimbili na ni mmliki wa skylite band, ndege insurance na Jembe ni Jembe. big up to him
 
Sebastian Ndege hana undugu na Ruben Ndege ni majina yamefanana tu

Aiseeee!!!!huenda ni kweli though kishule shule kabla huyu bwana hajawa maarufu walikuwa wakimtaja bro wao.
 
Reactions: SDG
Nilikuwa namkubali sana huyu jamaa wakati anaendesha kipindi cha njia panda clouds fm na kama sikosei wakati huo huo alikuwa anasoma muhimbili . Wakati huo njia panda kilikuwa kipindi cha ukweli. Sijui kilimsibu nini huyu jamaa akawa hasikiki tena.
 
Kweli kabisa,kwanza hawa watoto wa Ndege hawakuwa na mahusiano mazuri na huyu mama yao wa kambo ambae ndo mke wa WAsira kwa sasa

Seba huwa hana shida ila huyo mama habari zke cjui nlikua namwona 2 mwz 2009 akiwa n ofisini kwake gati insurance
 
Reactions: SDG
Joo Wane,


Mtu afanye kazi clouds...avume...kisha kimyaaa


itakuwa kafanyiwa visa tuuu na yule mtu mfupi Cloouds

hakuna la zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…