Sebastiani Ndege ni Jembe

Sebastiani Ndege ni Jembe

Huyu jamaa ni mtu poa sana Alikuwa anaendesha kipindi.cha njia panda clouds fm akiwa na rafik yake Dr Isack Maro alisaidia watu wengi sana kwenye kipindi chake, pia alikuwa doctor wa wanawake Muhimbili na ni mmliki wa skylite band, ndege insurance na Jembe ni Jembe. big up to him
 
Sebastian Ndege hana undugu na Ruben Ndege ni majina yamefanana tu

Aiseeee!!!!huenda ni kweli though kishule shule kabla huyu bwana hajawa maarufu walikuwa wakimtaja bro wao.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Kweli kabisa,kwanza hawa watoto wa Ndege hawakuwa na mahusiano mazuri na huyu mama yao wa kambo ambae ndo mke wa WAsira kwa sasa

Seba huwa hana shida ila huyo mama habari zke cjui nlikua namwona 2 mwz 2009 akiwa n ofisini kwake gati insurance
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Joo Wane,


Mtu afanye kazi clouds...avume...kisha kimyaaa


itakuwa kafanyiwa visa tuuu na yule mtu mfupi Cloouds

hakuna la zaidi
 
Back
Top Bottom