Pesa yake ni extension ya pesa ya baba yake na juhudi Binafsi ...sidhani Kama mnayoongea hapa ni Kweli ..kwakuwa ..Huyo Ghati sio mama yake Bali alikuwa mama yake wa kufikia ...so Wassira kamuoa ..mama yake wa kufikia..so am not sure Kama relations itakuwa such easy ...labda badaye kabisa aje afaidike kupitia Ndugu zake ambao baba yake Alizaa na " mke " wa Wassira
Wassira naye is another story ..Kwani Wakati alipochoka mkewe ambaye ni..Kuna Wakati alikuwa mfanyakazi wizara ya afya Alimtosa ...inawezekana wana sababu Zao ..na kidini bado ni mkewe ...wametengana tu